Up next

WASANII 10 WABAYA TANZANIA

0 Views· 10/16/24
AFRONECTOR
AFRONECTOR
4 Subscribers
4

Usisahau kusubscribe hapo juu ili uwe wakwanza kupata mpya zote za town.

Video hii haimaanishi Kweli, ni kwamtazamo wangu Na watu wachache. Wengine wanakuambia mwanaume hawi mbaya Wala mzuri lakini hayo ni mawazo ya watu pia, hata mimi naweza kuyakataa.

Dondosha comment yako hapo chini, like na share kwa Wengine, Ukiweza niwekee na wewe list yako, au

Kama unawazo na kitu tukifanye labda utafiti wowote lakini uhusishe idadi ya 10.mfano iwe, Sababu 10 ZA kitu flani, wasanii 10 wanini au wanao fanya nin.

Kama kuna kitu hujui pia, unaweza ulizia tutakupostia, cha kufanya hapo juu.

Show more

0 Comments sort   Sort By

Up next